🌟 [ 109 ]   AICT Chang’ombe Choir (CVC) - Saa ya Mwisho (Official Music Video) [ @CVC TV ]

Shalom Shalom Mpendwa Katika Bwana! Imekuwa baraka sana kukuletea wimbo huu wa saa ya mwisho ikiwa kama zawadi yetu ya Pasaka kwako. LUKA 23:32-43 Wimbo huu unaeleza namna gani tunatakiwa kuutumia muda tulionao vizuri, mfano wa wanyang’anyi wawili walipokuwa pamoja na YESU msalabani, mmoja aliamua kuitumia saa yake ya mwisho vizuri, akasema ‘’Ee YESU! unikumbuke wakati utakapoingia katika ufalme wako” ingawa alikuwa mtenda dhambi lakini YESU alimwambia Leo hii utakua pamoja nami peponi. Haijalishi umefanya maovu kiasi gani, umepitia magumu mangapi bado nyumbani mwa BWANA una nafasi unachotakiwa ni kutubu, kuacha njia mbaya na kumgeukia BWANA ili ukaurithi ufalme wake wa milele. #Saayamwisho #pasaka #choir SONG LYRICS; Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja Kumbuka saa ya mwisho karibu inakuja Iyo oooh x2 Beti 1: Wanyang’anyi wawili msalabani wakiwa naye YESU Wanangojea kifo msalabani wakingojea kifo Wenye dhambi wawili msalabani wakiwa naye YESU Saa yao ya mwisho msalabani wakingojea kifo. Wenye dhambi wawili msalabani wakiwa naye YESU Saa yao ya mwisho msalabani wakingojea kifo. Solo 1 : Iye iye iye iye iye Baba ooh : Iye iye iye iye iye ooh Wa kwanza alianza kumwambia Bwana YESU Kwa kejeli alianza kumwambia Bwana YESU Ulijifanya MUNGU mbona unateseka Kama wewe ni MUNGU ebu jiponye sasa Ulijifanya MUNGU, mbona unateseka Kama wewe ni MUNGU ebu jiponye sasa tuponye na sisi Yesu hakujibu (Yesu hakujibu) x2 Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja Kumbuka saa ya mwisho karibu inakuja Iyo oooh X2 Solo 2 : Wa pili alianza kumwambia Bwana YESU Kwa adabu alianza kumwambia Bwana YESU Mimi ni mwenye dhambi Naomba msamaha Unikumbuke Baba unakokwenda Baba Nimetenda maovu naomba msamaha Unikumbuke Baba unakokwenda Baba (Aaaah) Unikumbuke Baba unakokwenda Baba (Aaaah) Solo : Yesu alijibu Wote: (Yesu alijibu) x2 Leo hii utakua nami peponi Leo hii utakua nami mbinguni Leo hii Kiitikio : Saa ya mwisho kumbuka inakuja Kumbuka saa ya mwisho karib .

:::: Visit my YouTube channel @ CVC TV ( [ 🔗 Click ‼️ ] )




🌈 🔎 AICTChangombeChoirCVCSaayaMwishoOfficialMusicVideo 🌈




TECNICA 4×4×4 Buy the Dip or Sell the Rip? Metodo de Carga Inversa Revisión de Columna de Concreto Reforzado a Flexión Biaxial + Compresión สปอยอนิเมะ Tales of Demons and Gods Ss5 ( พงศาวดารภูตเทพ ) EP92 ( มุ่งหน้าสู่ดินแดนใต้พิภพ ) สอนโหลดโปรแกรมสแกนไวรัส Malwarebyte กิจกรรมส่งเสริมการอ่านและการเรียนรู้
👀 makagala 👀 gogoackman2 👀 ตกหมึกกลางทะเล 👀 ตนเองมีภาวะท้องนอกมดลูก 👀 ноулс





World


( 10 Page ) :: 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 ▶️ ⭕️


🌟   0     Just In 1.26 second Rubic Cube Solve 🤯💯 #worldrecord #rubikscube #shorts


🌟   0     #can you solve this math puzzle#shorts#shortfeed#iqtest###


🌟   0     Share Market Updates Live | First Stocks Trade | Sanjiv Bhasin | Gaurang Shah


🌟   0     Can you Solve this Milkman Francis Mosses Game ? #shorts #memes


🌟   0     🔴[Live] Go 8Lakh 🥺💖Free Fire live Guild Test🗿👑-Garena Free Fire !!


🌟   2     FREE FIRE LIVE👻GARENA FREE FIRE💀GUILD TEST LIVE !! NEW EVENT


🌟   1     Aarush ne kiya pyramid cube solve #viral #shorts #trending #trendingshorts


🌟   0     1vs1 Live Stream || 😍 🔥 #nonstopgaming - Free fire live #tondegamer


🌟   1     INFINITE MONEY vs ENDLESS MODE!! (Toilet Tower Defense)


🌟   0     #india ONLY GENIUS PERSON CAN SOLVE THIS QUESTION🧐#trending #MATH PUZZLE🤯#shortsvideo

( 10 Page ) :: 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 ▶️ ⭕️







2024 Awesome Story :: Update 26 April 2567 | 17 Years since 2007

Contacts email : [email protected] && FB ::https://m.me/flashminidotcom

The content on this page is generated and generated by social media content automatically. If you encounter a problem or want to delete the information Please inform at this email >> [email protected] OR https://m.me/flashminidotcom

This website uses cookies or similar technologies, to enhance your browsing experience and provide personalized recommendations. By continuing to use our website, you agree to our Privacy Policy & Terms